Mchezaji wa Yanga Sc Feisal Salum Ameendelea Kuibua Wasawasi Miongoni wa Mashabiki wa Timu hiyo Kufuatia Tetesi zinazomuhusisha Kujiunga na Timu ya Wanalambalamba Azam Fc.

Kunako Mitandao ya Kijamii Kuna Video inayosambaa Ikimuonyesha Mchezaji Huyo Akizungumzia namna Mchezo wa Mpira wa Miguu Akisema kama Wachezaji zaidi huwa wanaangalia Maslahi na sio Kucheza Kufurahisha Watu.

Viongozi wa Timu ya Yanga SC na Azam FC Hawajasema Chochote Kuhusu Tetesi zinazoendelea Mitandaoni ingawaje Kwenye Ukurasa wa instagram wa Yanga Umempost Mchezaji huyo wakiitahadharisha Azam Fc kuelekea katika Mchezo Unaofuata.

JE UNAMUONA WAPI FEISAL BAADA YA DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA?

Post a Comment

 
Top