Klabu ya Yanga Imefanikiwa Kuibuka na Alama Tatu Baada ya Kuibamiza Mbeya 2-0 Katika Mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara ambao Umechezwa Leo Katika Dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo unakuwa wa 49 Kwa Klabu kutofungwa Tangu Musimu Uliopita Huku Fiston Mayele Akiendeleza Kasi ya Ufungaji wa Magoli Akifikisha Jumla ya Magoli 10 Mpaka Sasa.

Yanga Sc Wameifikia Rekodi ya Arsenal ya Kutofungwa Jumla ya Michezo 49 Katika Ligi Kuu Soka nchini Uingereza Musimu wa 2003/2004.

Cc @irundetz

#irundereports

 

Post a Comment

 
Top