Nyota wa Timu ya Taifa Ubeligiji na Man City Kelvin de Bruyne Amesema Timu yao ya Taifa Haina Nafasi ya Kutwa Kombe la Dunia katika Mashindano yanayoendelea Nchini Qatar.

Mchezaji Huyo Amesema ingawa wa Timu Bora lakini Umri wa Wachezaji ndio Kikwazo kwao na kwamba Nafasi ya Timu ya Taifa ya Ubeligiji Kutwaa Ndoo Hiyo ilikuwa Mwaka 2018.

Cc @irundetz

#irundereports


Post a Comment

 
Top