Klabu ya Yanga imepoteza Mchezo wake wa Kwanza Katika Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Baada ya Kukubali Kichapo cha 2-1 Katika Mchezo uliowakutanisha Dhidi ya Wenyeji wao Ihefu FC katika Dimba la Highland Estate Jijini Mbeya.

Kipigo Hicho Kinakuja Ikiwa ni Siku chache Zimepita Baada ya Timu Hiyo Kusheherekea Michezo 49 Bila Kufungwa Mara Baada ya Mchezo wao Dhidi ya Mbeya City Wakiifikia Rekodi ya Arsenal Ambayo Ilifanya Hivyo katika Ligi Kuu Nchini Uingereza Musimu 2003/2004.

Hata Hivyo Rekodi hiyo ya Yanga SC Imeacha Maswali Mengi kwa Wanasoka Barani Afya Baada ya Baadhi ya Vyombo Vikubwa vya Habari Afya na Duniani kwa Ujumla Kutumia Macho Rekodi Hiyo.

NB UNBEATEN 49 Kwa Yanga Sc ina Maana Gani katika Soka la Tanzania!?
Tuachie Maoni yako

Cc @irundetz
#irundereports

Post a Comment

 
Top