Shabiki Kinara wa Klabu ya Simba Agnes Daniel Maarufu Aggy Simba Amesema Ataendelea Kuisapoti Timu yake ya Simba SC kwa Hali na Mali Licha ya Matokeo yasiyorisha kwa Timu Hii Musimu Huu.

Shabiki huyo ambaye aliibuka Kinara katika Tuzo za Shabiki Bora Nchini Musimu uliopita akimugaragaza Mpinzani wake wa Karibu Jimmy Kindoki anayeshabikia Yanga Sc Amesema yeye Halipwi Chochote na Klabu yake na kwamba Hujigaharamia Kufika sehemu Mbalimbali inapocheza Timu Hiyo.


Cc @irundetz

#irundereports


Post a Comment

 
Top