Wadudu Hawa Ambao Huzaliza Asali Ambayo ni Zao Pendwa Ulimwenguni Wapo Hatarini Kutoweka Kutokana na Kukithiri kwa Shughuli za Binadamu jambo Ambalo Shirika la Chakula Ulimwenguni FAO linasema litakuwa Mtihani Mkubwa kwa Dunia.

Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango Anatarajiwa Kuwa Mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani Ambayo Kitaifa Mwaka huu yanafanyika Mkoani Singida Tarehe 21 Mwezi Mei.

Ujumbe Mkubwa katika Maadhimisho hayo Ikiwa ni Ulinzi kwa Mdudu huyo ambaye ni Muhimu sana Katika Ustawi wa Dunia.

Wadudu Hao Ambao Huzaliza Asali Ambayo ni Zao Pendwa Ulimwenguni Wapo Hatarini Kutoweka Kutokana na Kukithiri kwa Shughuli za Binadamu jambo Ambalo Shirika la Chakula Ulimwenguni FAO linasema litakuwa Mtihani Mkubwa kwa Dunia.

Kwa Mujibu wa Shirika Hilo asilimia 75 ya matunda na mbogamboga visingekuwepo bila ya Uwepo wa nyuki na ni bidhaa ambazo ni muhimu sana kwa uhakika wa chakula na bayoanuai ya dunia.

TAZAMA MAKALA KWENYE VIDEO

Post a Comment

 
Top