Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba Amesema Tatizo Kubwa Linalotishia Mafanikio ya Kielimu Nchini Katika Kizazi cha Sasa ni Kuupuza Usomaji wa Vitabu na Kugeukia Mitandao ya Kijamii.

Akizungumza katika Mahafali ya 20 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania ambayo yamefanyika katika Kampasi ya Singida Serukamba Amewataharisha Wahitimu Hao Kuwa Ikiwa Wataacha Kusoma Vitabu Watopoteza Ujuzi Walioupata.

Aidha Amewakumbusha Wahitimu Hao Kuyalinda Mafanikio Walioyapata na Kuboresha Mapungufu yaliyojitokeza katika Mafunzo yao ili Kujenga Ushindani Katika Soko la Ajira.

Cc @irundetz

#irundereports





Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top